Habari za Mastaa

Zisikupite hizi video mpya 7 za bongofleva zinazochukua headlines YouTube.

on

Shetta 1Headlines za Bongofleva hazizuiliki, tunazipokea mpya kila wakati na hii ni kutokana na kukua kwa muziki wenyewe ambao sasa hivi ni sehemu kubwa ya ajira kwa vijana wa Kitanzania.

Zifuatazo ni video mpya za bongo zilizotoka 2015 ambazo hutakiwi zikupite….  ya kwanza kuitazama ni hii ya Shetta kafanya na Mnigeria Kcee, imefanywa South Africa kwa God Father.

Diamond kwenye Taarab ft. Khadija Kopa imewekwa March 27 2015 na mpaka sasa ina views zaidi ya 270000, Directed by Hanscana.

Video ya tatu hapa chini ni ya Ommy Dimpoz – Wanjera na imetengenezwa na God Father ambayo imewekwa YouTube toka March 12 2015 na mpaka sasa ina views zaidi ya 270000.

Hapa chini ni Jux – Nikuite nani Directed by Hanscana, iliwekwa YouTube March 13 2015 na ina views zaidi ya 120000

Nyingine ni hii ya Vanessa Mdee ft K.O rapper wa South Africa ‘No body but me’ imewekwa YouTube March 26 2015 na ina views zaidi ya 50000.

Barnaba ameiachia hii ‘Suna’ kwenye YouTube toka March 27 2015 na mpaka sasa imechukua views zaidi ya 16000.

Ya mwisho ni hii ya Tammy – down low.

Ipi kati ya hizi video unaipa tuzo yako ya comment leo kutokana na ubunifu au uzuri wa video na audio? naomba comment yako

Soma na hizi

Tupia Comments