Top Stories

Ulikua mbali na TV? nimeangalia bunge la katiba kwa niaba yako leo nikakuchukulia hii ya John Cheyo.

on

TV 2Bunge la katiba linaendelea na vikao vyake kwenye mjia wa Dodoma 104.4 ambapo leo miongoni mwa waliowasha vipaza sauti na kuongea ni pamoja na Kingunge Ngombale Mwiru na John Cheyo ambae ndio tunae kwenye hii post akizungumzia ishu ya Rais kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na kukubaliana nao kuitumia katiba ya zamani kwenye uchaguzi mkuu ujao lakini kwa kuifanyia baadhi ya marekebisho.

Tupia Comments