Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Spika wa Bunge kapokea barua ya Prof. Lipumba kufukuza Wabunge 8 CUF

on

July 25, 2017 taarifa kutoka ofisi ya Bunge imeeleza kuwa Spika Job Ndugai amepokea barua kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF Taifa anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili, Prof. Ibrahim Lipumba inayoeleza kuwafukuza uanachama Wabunge nane wa viti maalum na madiwani wawili.

Uamuzi wa Prof. Lipumba umekuja baada ya kuwatuhumu Wabunge na Madiwani hao kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kinidhamu, kukihujumu chama, Kumkashifu na kumdhalilisha Mwenyekiti.

.

Soma na hizi

Tupia Comments