Top Stories

VIDEO: Kama hujawahi kumuona au kumsikia Profesa Jay akiuliza swali bungeni

on

Ni msanii mkongwe wa hiphop Tanzania ambaye sasa hivi ni Muheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mikumi Morogoro na jina lake bungeni ni Joseph Haule, kama hukuwahi kumsikia au kuona akiuliza swali lake bungeni Dodoma, hii video hapa chini itakuonyesha.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments