Stori Kubwa

Reginald Mengi amefunga ndoa na Jacqueline Ntuyabaliwe, picha 9 ziko hapa

on

Germany France Plane CrashMtandao wa Bongo5.com umepata nafasi ya kupokea pichaz Exclusive kutoka kwenye harusi hii ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius kwenye mwisho wa mwezi March 2015.

Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.

Germany France Plane CrashNdoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyu December 2014.

Germany France Plane Crash

Germany France Plane Crash

Germany France Plane Crash

Germany France Plane Crash

Germany France Plane Crash

Germany France Plane Crash

Germany France Plane Crash

Soma na hizi

Tupia Comments