AyoTV

Ulimis kuona jinsi Diamond alivyopokewa Kistaa Rwanda? pembeni alikua na nani?

on

DDMwimbaji staa kutokea Tanzania Diamond Platnumz alipata mwaliko kwenda kufanya show Kigali ambako alifanya show mbili, moja ilikua ni ndogo ambayo ndio hii utaiona kwenye hii video hapa chini, nyingine kubwa aliyoifanya kesho yake utaiona siku chache zijazo pia on AyoTV.

https://www.youtube.com/watch?v=MF23eUV-ss8

Kaa karibu na millardayo.com nitakachokipata nitakusogezea hapa muda wowote kuanzia sasa, unaweza kujiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments