Habari za Mastaa

Kwa uliedhani ujauzito wa Zari ulikua feki, hapa je?

on

Zari 2Labda uliziona picha za mwanzoni za mrembo Zari kutoka Uganda lakini ukaamini maneno ya wengine kwamba shemeji yetu huyu kwa Diamond Platnumz alidanganya kuhusu kuwa na ujauzito huo wa Diamond.

Picha mpya kutoka kwake right now ni hii hapa chini ikionyesha jinsi ujauzito wake unavyozidi kukua…

Zari 1Kaa karibu na millardayo.com nitakachokipata nitakusogezea hapa muda wowote kuanzia sasa, unaweza kujiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge kwa kubonyeza hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments