Vituko/ Comedy

Ungefanyaje kama wewe ndio mpangaji alafu hii imekukuta?

on

Vituko 3Tunajua siku hizi maisha yetu yametawaliwa pia na mitandao ya kijamii, sasa inakuaje furaha unapoipeleka au kuihusisha kwenye sehemu ambayo mara nyingi huwa unaitumia kukutana kiteknolojia na marafiki zako.

Chek na huyu….

Vituko 2Ungekua ni mpangaji hapa ungefanyaje?

millardayo.com ni sehemu yako utakapozipata zote unazozitaka, vichekesho, stori za siasa, muziki, michezo, movies, magazeti, video mpya na nyingine kubwa….  unaweza kujiunga na mimi Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments