Vituko/ Comedy

Siku hizi Bajaji na bodaboda haziogopi kama hivi, tazama hii kama inakuhusu!

on

Bajaji 2Siku hizi pikipiki maarufu kama bodaboda pamoja na Bajaji pamoja na baadhi ya magari, yamekua yanachekesha wengi barabarani kutokana tu na maneno waliyoyabeba.

Kutana na hii inayowahusu Wanaume wote wanaochelewachelewa kuoa.
Bajaji 1Kaa karibu na millardayo.com nitakachokipata nitakusogezea hapa muda wowote kuanzia sasa, unaweza kujiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments