Mix

White house imewahi kutoa picha mbili tu za Obama na familia yake, mpya ya 3 iko hapa

on

White house 3Picha ya kwanza kutolewa na Ikulu ya Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na familia yake ilitoka mwaka 2009 na ilipigwa na Annie Leibovitz na picha ya pili ndio hii hapa juu ambayo ilitoka mwaka 2011 na ilipigwa na mpiga picha wa White House Pete Souza.

White house 2Picha mpya na ya tatu ndio hii hapa chini ambapo anaonekana first lady Michelle and watoto wao wa kike Malia mwenye miaka 16 (kushoto) na Sasha mwenye miaka 13.

White houseWhite house pia ilitoa picha pekee ya Obama akiwa na mke wake bila watoto na kutoa salamu za Pasaka.

white house 4millardayo.com ni sehemu yako utakapozipata zote unazozitaka, vichekesho, stori za siasa, muziki, michezo, movies, magazeti, video mpya na nyingine kubwa….  unaweza kujiunga na mimi Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments