Mix

Lodges 15 hutakiwi kuacha kuzitembelea Africa, Tanzania imetajwa mara mbili kwenye list

on

Mahale 1Ni furaha ya kila mmoja mwenye love na nchi yake ataposikia list ya sehemu zinazovutia imetoka alafu nchi yake imo ndani….. wiki kadhaa zilizopita kulikua na list ya sehemu za kihistoria ambazo hupaswi kuacha kuzitembelea duniani na Zanzibar haikuwepo wala Tanzania.

Good news ya leo ni kwamba Tanzania imo kwenye list ya hizi sehemu zenye mvuto Afrika kwa upande wa Lodges na Hotels kwenye mbuga mbalimbali ambapo kwa mujibu wa CNN, list hii ilipangwa na timu ya watu 11 wakiwemo wataalamu wa mazingira waliotembea kwa upana Afrika.

Walipoulizwa ni sehemu gani zaidi zilizowavutia kwa kutengenezwa au kuzungukwa na mazingira mazuri na yenye uasili wakazitaja hizi kwenye list.

C2

Grootbos Private Nature Reserve South Africa

C3

Serra Cafema Camp Namibia.

C4

Greyston Mahale Tanzania kwenye milima ya Mahale, ufukwe wa Ziwa Tanganyika.

C5

Desert Rhino Camp Namibia

C6

Singita Grumeti, Tanzania

C7

Leshiba South Africa

C8

Little Makalolo Zimbabwe.

C9

Meno A Kwena Botswana

C10

Mombo Lodge Botswana.

C11

Wolwedans Private game Reserve Botswana Namibia.

C12

Natureways Canoe Trails Zambezi River

C13

Singita Pamushana Lodge, Zimbabwe

C14

Sangha Camp, Central African Republic

C15

Tafica Camp Zambia

C16

Camp Nomade Chad.

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>> twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments