Vituko/ Comedy

Utani wa Baba Levo kuhusu tabia za Wanawake wa Mwanza, Moshi, Kigoma na Tanga!

on

Stand Up ComedyBaba Levo ni msanii, mchekeshaji na Mtani pia vilevile na amekua akisikika kwenye Countdown ya Amplifaya on CloudsFM saa moja usiku mpaka saa 3 ambapo April 9 2015 alisikika akiwazungumzia Wanawake wa mikoa mbalimbali ya Tanzania.

Play hii audio hapa chini umpate mwenyewe akiongea mbele za watu wake aliokutana nao baa na wakamtaka awatajie sifa za Wanawake.

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments