Michezo

Utani kwenye mitandao, kabla na baada ya mechi ya Manchester United vs Chelsea April 18 2015.

on

utani 1Manchester United ilicheza na Chelsea weekend hii iliyopita na kukutana na kipigo cha goli moja bila ambapo ushindi huo Chelsea ulipatikana kupitia kwa Hazard dakika ya 38.

Baada ya hapo utani ulioanza kusambaa kwenye mitandao ni pamoja na hiyo picha hapo juu, hii inayofata hapa chini ilisambaa kabla ya mechi lakini hiyo ya chini yake ndio ikawa kama muendelezo wa hii ya juu.utani 3

Utani 2

https://www.youtube.com/watch?v=3n8IJTGhh1o

Tupia Comments