Maajabu

Ndege ya kipekee inayotumia nguvu ya jua ilikwamia China, kitu kimoja tu kimeikwamisha (picha 10).

on

n13Ni ndege ambayo ilianza safari yake March 9 2015 Abu Dhabi na ikafanikisha salama safari zake kwa kupaa angani na kupita Oman, India na Myanmar.

Marubani wawili wanaoiendesha wanasema wanataka kuvunja rekodi kwa kuuthibitishia ulimwengu kwamba Ndege inayotumia nguvu ya Jua inaweza kutumika kwenye dunia ya sasa.

N1Pamoja na hayo, safari yao bado ni ndefu ambapo siku mbili zilizopita waliripotiwa na CNN kwamba safari yao imekwama China kwa zaidi ya wiki mbili baada ya kushindwa kupaa kutokana na hali mbaya ya hewa, hali ikiwa mbaya inavunja masharti ya kuipaisha ndege hii.

n2Jamaa wamepanga kuzunguka na hii ndege kwenye nchi mbalimbali za dunia lakini bila kutumia hata tone moja la mafuta, yani wanataka itumike nguvu ya jua kama ndege ilivyoundiwa.

N4

n5

n6

n7

n8

n9

n10

n11

n12Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments