Habari za Mastaa

Wastara kapata ajali? kaweka hii picha na maelezo haya ya zaidi ya maneno 100

on

Wastara 2Ni April 20 2015 mwigizaji Wastara anaandika maneno zaidi ya 100 na kuambatanisha na picha kuthibitisha kuhusu ajali aliyoipata japo hajaandika kwa undani zaidi kuhusu ajali yenyewe.

Wastara baada ya kuweka hii picha haya ndio maelezo aliyoyatoa >>>‘DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka leo’

Kwenye sentensi ya pili amesema >>> ‘Ila kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hata mzima ila mtambue nina watoto watatu wananitegemea kwa kila kitu sometime mnasema nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali nami daah too much’

Wastara 1

Namtafuta Wastara ili tujue zaidi kuhusu hii lakini kama unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments