Habari za Mastaa

Ben Pol katutolea video ya Sophia! dakika zako 4 zitumie kuitazama hapa

on

Ben PolVideo ilitengenezwa nyumbani kwao Dodoma ikiwa ni hit single kwenye Radio za Tanzania sasa hivi ambapo kwenye CloudsFM Top 20 imeshika nafasi ya pili wiki iliyopita kutoka nafasi ya tano ikiwa ni wiki yake ya saba tu toka iingie kwenye Countdown.

Soma na hizi

Tupia Comments