AyoTV

AyoTV inakuletea dakika 6 za kilichonaswa kutoka kwenye Pool Party ya Mikocheni Dar es salaam

on

POOL PARTYIlikua ni April 17 2015 ambapo ilikua birthday ya Mtangazaji Perfect Crispin wa CloudsFM ambaye aliamua kuenjoy na kuwaalika watu wake waliokubali kuchangia kadi ya mwaliko kwenye part aliyoiandaa na kufanyika Mikocheni.

Ni party ambayo utaona jinsi Warembo na brothers walivyojiachia kwenye kuogelea huku stage ikimilikiwa na wakali kama Ay na MwanaFA, Msami, Barnaba, Godzila, AIka na Nahreel na wengine.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments