Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Ndoa ya Shetta imevunjika…. mke wake kakataa pia hii zawadi aliyopewa.

on

Shetta 2Usambazaji wa picha kwenye mitandao siku hizi umekua na nguvu kubwa sana, picha inaweza kusambazwa ndani ya dakika 20 ikabadilisha mambo mengi sana kwenye maisha tunayoishi.

Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shetta ambaye alikuja kwenye studio za Millard Ayo na kukubali kuweka wazi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ambayo haina hata miaka mitano.

Unataka kuona alichosema kuanzia mwanzo mpaka mwisho? unataka kuona picha ya zawadi aliyomnunulia mke wake na bado akaikataa? bonyeza play hapa chini..

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments