Michezo

Full Time ya Simba vs Mgambo JKT Ruvu April 22 2015 utaipenda kama wewe ni wa Simba.

on

SPORTSKwenye headlines za michezo Tanzania April 22 2015 hii ya mechi ya Simba vs Mgambo JKT imechukua headlines kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam baada ya kilichopatikana baada ya dakika 90.

Unaambiwa Simba imeifunga Mgambo 4- 0 ambapo goli tatu zimepigwa na Emmanuel Okwi alafu hilo moja lililobaki likapigwa na Ramadhani Singano ikiwa ni mechi nyingine kutoka kwenye ligi kuu.

Simba 2

Picha kutoka salehjembe.blogspot.com

Simba 1Kwa stori zaidi kuhusu mechi hii unaweza kumsikiliza Yahya Mohamed wa Sports Extra ya CloudsFM alipokua akizungumza na Alex Luambano.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments