Mix

Kama una love na hits za Jamaica… hizi 9 zipo kwenye list ya kali za sasa!

on

Jamaica 2Trace Urban imetuletea tena list ya video kali za Jamaica kupitia  Top10 yao ambayo ni Sound System ambayo kila wiki huwa inazikutanisha ngoma kali kutoka upande wa Jamaica.

Namba 9 ni Spice, Vybz Kartel – Conjugal Visit

Namba 8 ni RDX – Ride it

Namba 7 ni Mr Vegas – My Jam

Namba 6 >> Ishawna – Restraining Order (Official HD Video)

https://www.youtube.com/watch?v=kfJt85FVe_c

Namba 5 ni >>> Chi Ching Ching – Way Up Stay Up (Remix) ft. Beenie Man, Popcaan

Namba 4 ni >>> I-Octane – Cya do it ft. Vanessa Bling

Namba 3 ni >>> DEXTA DAPS & TIFA JEALOUS OVA OFFICIAL VIDEO

Namba 2 ni >>> Elephant Man Shmoney Dance (Official Music Video) Ft. Bobby Shmurda

Namba 1 ni Demarco – Puppy Tail

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments