Vituko/ Comedy

Hii video fupi ya mtoto aliyeendesha pikipiki itawafundisha wengi kuiona hatari

on

motorWatoto siku zote inashauriwa kuwaweka mbali na vitu vyenye hatari, tumekua tukisikia kesi nyingi za jinsi ambavyo vifo vinatokea wakiachwa pembeni ya mabwawa ya kuogelea, jikoni, kwenye gari na sehemu nyingine za hatari.

Sasa hii sijajua ilitokea nchi gani ila inaonyesha wazi kabisa jinsi ilivyo hatari baada ya pikipiki kuachwa ikiwa haijazimwa.

Watoto ni wa kwenda nao kwa umakini yani

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments