Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Huyu mrembo alifariki baada ya kunywa dawa za kupunguza uzito, mama yake kayasema haya
Share
Notification Show More
Latest News
Kivumbi!! Misso Msondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe
December 9, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Msondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
December 9, 2023
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa
December 8, 2023
Wadau Morogoro wajitokeza kutoa msaada Hanang, RC aipokea
December 8, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Huyu mrembo alifariki baada ya kunywa dawa za kupunguza uzito, mama yake kayasema haya
Mix

Huyu mrembo alifariki baada ya kunywa dawa za kupunguza uzito, mama yake kayasema haya

April 24, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

mama 2Ni binti mrembo wa miaka 21 aliyefikia Chuoni kimasomo ambapo alichukua maamuzi ya kununua dawa za kupunguza/kujikinga na unene alizozinunua kwenye mtandao (online).

April 12 2015 ndio ilikua siku yake ya mwisho duniani baada ya kulazwa hospitali na chanzo cha kifo chake kikiaminika ni hivyo vidonge ambavyo inasemekana vilikua na sumu.

Mama yake mzazi ameongea na kusema Madaktari wasingeweza kuokoa maisha yake, kunywa hizo dawa ni sawa na kujisogeza karibu na kifo, zinasababisha pia mwili upate joto kupitiliza na kusababisha pia ini kushindwa kufanya kazi.

Mama 1Eloise alipoanza kuona hali iko tofauti baada ya kunywa dawa alikwenda hospitali mwenyewe lakini ikawa imeshaharibu tayari, alichelewa kwenda.

Haikufahamika ni vidonge vingapi alimeza na alivitumia kwa muda gani lakini Polisi wa Uingereza wametoa onyo kwa yeyote mwenye mpango wa kununua dawa online aachane nao tena sanasana kupitia websites ambazo hazijasajiliwa.

mama 3

You Might Also Like

Wafanyabiashara waanza kuwa salama na fedha zao

Barrick Tanzania kinara tuzo ya Muajiri bora 2023

Wanafunzi wazidi kunufaika na elimu ya kupinga ukatili

Mgodi wa Barrick Mara kinara kodi ya Mauzo ya nje

Serengeti waunga mkono usawa wa kijinsia

TAGGED: matukio
Millard Ayo April 24, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Imetokea saa chache zilizopita, Wanafunzi walikua wanaimba na kuenjoy alafu stage ikatoboka na kuzama
Next Article Wakati unaisubiri PISHU mtaani kwako, karibu ucheki hii Trailer KAJALA ametuletea..
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kivumbi!! Misso Msondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe
Top Stories December 9, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
Top Stories December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Msondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
Entertainment December 9, 2023
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa
Top Stories December 8, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kivumbi!! Misso Msondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

December 9, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Wadau Morogoro wajitokeza kutoa msaada Hanang, RC aipokea

December 8, 2023
Top Stories

‘Wasomi tumieni Elimu kusaidia Jamii’- Mwenyekiti wa Baraza la Elimu ya Watu wazima

December 8, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?