AyoTV

Usiyoyajua kuhusu Mtanzania anaekwenda Marekani na Akon, tazama pia walivyokuwa wakiongea.

on

MAYUNGA COVERNi Mtanzania aliyeshinda kwenye fainali ya AirtelTraceMusicStar April 18 2015 shindano lililoandaliwa na TraceURBAN, TV station ya burudani kutokea Ufaransa huku Washiriki wakiwa kutoka nchi 13 za Afrika na Tanzania ikiwemo.

Mwimbaji staa Akon alikua mmoja wa Majaji ambapo kwenye hii interview hapa chini Mayunga ambaye alizaliwa Tabora anatueleza maisha yake ya nyuma yalivyokua na pia kuna kipisi cha video yeye akiongea na Akon.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments