Videos

Mabibi na mabwana!! Joh Makini ametuletea hii video yake mpya aliyoifanya South Africa.

on

Joh MNi staa wa hiphop kutoka Tanzania ambae mwaka 2015 umepewa baraka nyingi kwake ikiwemo video yake ya XO kuanza kuchezwa kwenye TV kubwa ya Nigeria (Sound City) lakini pia time hii karudi kwenye headlines na video yake mpya ya #nusunusu

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments