AyoTV

AyoTV: Kwanini Vanessa Mdee haonekani ovyoovyo? Watoto? kuolewa? alikozaliwa? kaongea jipya kuhusu yeye na Jux pia

on

VAyoTV inayo furaha kukutanisha na part 1 interview na mwimbaji wa bongofleva Vanessa Mdee ambaye kwa kipindi cha miaka mitatu jina lake limepata uzito kutoka kwenye utangazaji mpaka kwenye muziki.

Inawezekana jina lake limepita sana kwako, au unazipenda sana nyimbo zake lakini kuna mengi huyajui kuhusu yeye, alikozaliwa? alipoishi? kwanini huwa hatokei night clubs kikawaida? ukweli mpya kuhusu yeye na Jux? na maswali mengine yote bonyeza hapa chini kumtazama.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  Twitter Insta FB  na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments