Habari za Mastaa

YES.. Audio ya hii track ni hit kubwa sasa hivi.. Karibu ucheki VIDEO yake- Cyril Kamikaze- ‘Nikikuona’

on

Cyril Cover

Hii ni moja ya hit ambazo ziko kwenye masikio ya WENGI sana, ina fleva ya kipekeyake sana kwenye aina ya muziki ambao unasikika sasa hivi kwenye radio stations.

YES.. Kamikaze Cyril hongera zake kwa hit kali ya Nikikuona.. umefika muda wako mtu wangu kuenjoy uzuri wa hii kazi kwenye video.. bonyeza play uicheki hapa.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>>  TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTubekwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments