Habari za Mastaa

Kutana na picha za kitambo za baadhi ya mastaa wa bongo, Kajala, Ay, Salama, ya Diamond na Ali Kiba, Rita Paulsen na Mchomvu,

on

frame 2Kuna zile picha tu ukiziona za zamani kama ni zako zinakufanya ufikirie mengi, inaweza kuwa hata za watu wengine pia ambapo inabidi upime mwenyewe, kuna watu sura zao hazijabadilika sana na wengine zimebadilika….. jionee kwenye hii list hapa chini.

Kila wiki millardayo.com itakua inakuletea pichaz za zamani za mastaa mtu wangu ambapo kwa leo, hii picha ya kwanza hapa chini ni ya mwigizaji Kajala akiwa shule ya sekondari Jitegemee Dar es salaam time hizo.

Kajala Masanja

Kajala 1

Kajala wa sasa

Ad 1

Mtangazaji wa CloudsFM Adam Mchomvu na rapper Chidi Benz

ad 2

Adam Mchomvu kwenye muonekano wa sasa.

AD 5

Ay kwenye muonekano wa zamani na wa sasa.

AD 4 AY

Ay wa sasa.

AD 6

Mtangazaji Salama Jabir wa EATV na Ay time hizo

AD 7

Salama wa sasa.

ad 8

Madame Rita Paulsen mwaka 2008.

AD 9

Madame wa sasa.

Diamond Ali Kiba na Berry Black

Diamond, Ali Kiba na Berry Black time hizo.

Meninah TBT Bongo star search

Ni kitambo lakini sio sana hapa ni wakati mwimbaji wa bongofleva Meninah alivyoshiriki kwenye shindano la Bongo star search

Meninah 2

Meninah wa sasa.

TBT gani imetisha kati ya zote hizi?

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments