Habari za Mastaa

Kutoka uwanja wa ndege Dar es salaam, amepokelewa mgeni mwingine wa Zari All White Party

on

IMG_3945Kutoka South Africa Rapper A.K.A staa wa hit single ya All eyes on me ft. Burna Boy, Run Jozi na Congratulate ambaye ni miongoni mwa walioalikwa kwenye Zari All White party itakayofanyika Ijumaa hii ya May 1 2015 Dar es salaam amewasili kwenye ardhi ya JK tayari.

IMG_3946Gari la Diamond Platnumz ambalo lina jina la Diamond kwenye plate ndilo lilotumika kumchukua A.K.A mpaka hotelini.

IMG_3941

IMG_3934Hii ni mara yake ya kwanza kwa A.K.A kuja Dar es salaam lakini aliwahi kuja Zanzibar miaka kadhaa iliyopita ambapo pamoja na kuhudhuria Zari All White Party, stori kutoka kwenye team ya Diamond zinasema mkali huyu ataingia studio kabla ya kuondoka kwa ajili ya kurekodi kolabo yao.

IMG_3930

IMG_3925

IMG_3937

IMG_3918

IMG_3920Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments