Habari za Mastaa

Diamond Platnumz alipokasirika na kuuonyesha upande mwingine wa nyumba yake, hii ni ya chumbani kwake

on

Diamond Zari 1

Kwenye hii post aliandika ‘State House tym Hii..😊’

Super star kutokea Tanzania Diamond Platnumz usiku wa April 29 2015 aliamua kuonyesha upande mwingine wa nyumba yake aliyoijenga Dar es salaam ambapo alipost post zaidi ya moja kwa kile kinachoonekana kuwa ni baada ya kukasirishwa na comment ya follower wake Instagram.

Post iliyofata baada ya hii aliandika ‘Crazy Us 😄…Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea….😁😂 #StateHouseByNight

Unaweza kutazama hizi video fupi hapa chini uone alichoonyesha.

 

Crazy Us 😄…Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea….😁😂 #StateHouseByNight

A video posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on

Post iliyofata pia alionyesha chumba chake tena na mrembo Zari akiwa kitandani na kuandika ‘Sasa si uniunfollow kama Nakukera👀.. hupendi halaf bado Umeng’ang’ania tu Kwenye Page yangu….Utaja kufa kwa Hasira bure’      

Post ya mwisho aliyoiweka ni hii hapa chini aliyoambatanisha na maneno yake ‘Nimemuuliza “unanita” kasema Ndio!… nije? kasema “Njoo”… siju niiweke inayofata au??? ‘

Nimemuuliza “unanita” kasema Ndio!… nije? kasema “Njoo”… siju niiweke inayofata au??? #StateHouseByNight

A video posted by Chibu Dangote..😷 (@diamondplatnumz) on

Diamond na mpenzi wake Zari the boss lady wataenjoy na Watanzania kwenye #ZariAllWhiteParty Mlimani City Dar es salaam ambapo mastaa kibao watakuwepo akiwemo rapper A.K.A wa South Africa na Shetta.

Diamond na ZariUnahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments