Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Kilichonaswa na camera za AyoTV kuanzia Diamond na Zari wanapita red carpet White Party!

on

Diamond 2May 1 2015 kulifanyika party iliyosubiriwa, party ya kwanza Tanzania kuandaliwa na Msanii wa bongofleva na ikawa na kiingilio cha bei kubwa na bado ticket zikaisha, ticket za gharama zilikua za milioni tatu na zilikua 10 na zilinunuliwa ndani ya dakika 300.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments