Vituko/ Comedy

Video za vituko kutoka Whatsapp, kuna hii ya pambano la mtaani baada ya Mayweather na ya mtoto majigambo

on

WhatsappSiku hizi mtandao wa Whatsapp umerahishisha sana maisha, yani kuna video za vituko tunazituma au kuzipokea kila siku ukiachia mbali kusambaziana habari na ishu nyingine za mawasiliano.

Hizi ni video mbili za vituko nilizokutana nazo baada ya pambano la Mayweather, moja ilipostiwa ikionyesha watu wanazipiga mtaani kwa njia ya kuchekesha zaidi jinsi mtu anajiandaa na ngumi yake alafu inapita chafu na video nyingine ni ya huyu mtoto mwenye majigambo.

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Haahah nimeitoa kwa @romyjons A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments