Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Lionel Messi anatarajia kupata mtoto wa pili… kama ulikua hujawahi kumuona mama watoto wake ndio huyu.

on

Lionel Messi and wifeKama hii ni miongoni mwa ulizozimis, ripoti za Argentina zinasema staa huyu wa soka kutoka club ya Barcelona Lionel Messi pamoja na mpenzi wake Antonella Roccuzzo wanatarajia kupata mtoto wao wa pili.

Wameshajua tayari kwamba ni mtoto wa kiume atazaliwa na watamuita Benjamin wakati yule wa kwanza anaitwa Thiago ambapo Messi alithibitisha kupitia page yake ya instagram kwa kuandika ‘tunakusubiria baby, tunakupenda’

messi 2

Messi 1

An 1 An 2 An 3 an 4

Leo Messi and Antonella Roccuzzo at the FIFA Ballon d'Or 2013 gala at the Kongresshalle in Zurich, Switzerland, on January 13, 2014.

Leo Messi and Antonella Roccuzzo at the FIFA Ballon d’Or 2013 gala at the Kongresshalle in Zurich, Switzerland,  January 13, 2014.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments