AyoTV

AyoTV Exclusive: Kumbe Bob Junior alikua akikataa alipoalikwa na Diamond? White party ikawaje?

on

Bob Juniour 2Bob Junior ni msanii wa bongofleva na pia producer wa kwanza ambaye ndio alirekodi Album ya kwanza ya Diamond Platnumz enzi hizo ikiongozwa na hits kama Kamwambie na Mbagala, baadae waligombana na kukaa bila kuzungumza kwa miaka.

Lakini Diamond alitaka amani na akataka suluhu na Bob, japo ilifanikiwa wakakutana mpango wa Diamond haukufanikiwa…. ishu ikaendelea mpaka juzi Bob Junior alipotokea kwenye Zari All White Party ndio maswali yakaanza kuulizwa, imekuaje Bob ambaye hapatani na Diamond kahudhuria? majibu yote anayo kwenye hizi dakika 4 hapa chini.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments