Vituko/ Comedy

Video mbili fupi za utani mwingine wa pambano la Mayweather vs Pacquiao!

on

UtaniNajua kila upande ulikua na utetezi wake, wengine wanasema Mayweather kashinda kihalali kwa points wengine wanasema hakushinda kihalali, yaani alipendelewa.

Video hizi mbili za vituko hapa chini zinaongezea utani uliosambaa kuhusu pambano la Mayweather na Pacquiao lililochezwa weekend iliyopita.

#MayWeather #Pacquiao 😃

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Hahaha @idrissultan

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments