Mix

Ni swali tu kwa wale Wapenzi ambao wako kwenye ugomvi na hawasemeshani.

on

22Msimu huu wa mvua, mpenzi wako MLIEGOMBANA na hamsemeshani kwa zaidi ya wiki mbili ndio mwenye gari lakini wewe huna, muda wa kuondoka kazini umefika na huna usafiri wa kukuondoa ulipo, umetoka nje kucheki mpango wa kuondoka… ghafla unamkuta nje kapita kukupa lift, utapanda?

Tupia Comments