Mix

Tuzo za watu kwenye headlines Tanzania! majina ya walioingia kwenye Top3 yametoka

on

Tuzo za WatuNi tuzo mpya Tanzania ambapo mwaka huu 2015 zinatolewa kwa mara ya pili na itakua ni Ijumaa ya May 22 2015 Hyatt Regency Hotel ambapo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.

Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele ambapo  kila mshindi atapokea tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.

Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla hiyo itasindikizwa na burudani moto moto kutoka kwa wasanii watakaotangazwa hapo baadaye. Hakuna kiingilio kwenye tuzo hizo bali itatolewa mialiko kwa baadhi ya watu kwenye tasnia ya burudani na zingine nchini. Pia mialiko 100 itatolewa  kwa wananchi waliopiga kura zaidi.

Haya ndio majina yaliyoingia kwenye fainali ya tuzo za watu:

Mtangazaji wa redio anayependwa

D’Jaro Arungu – TBC FM – TZW1C

Maryam Kitosi – Times FM – TZW1D

Millard Ayo – Clouds FM – TZW1E

Kipindi cha redio kinachopendwa 

Amplifaya – Clouds FM – TZW2B

Hatua Tatu – Times FM – TZW2C

Papaso – TBC FM – TZW2D

Mtangazaji wa runinga anayependwa

Abdallah ‘Dullah’ Ambua – EATV – TZW3A

Salama Jabir – EATV/Maisha Magic – TZW3B

Salim Kikeke – BBC Swahili – TZW3C

Kipindi cha runinga kinachopendwa

In My Shoes – EATV – TZW4B

Mkasi – EATV – TZW4C

Planet Bongo – EATV – TZW4D

Blog/Website inayopendwa 

Hassbabytz.com – TZW5C

Millardayo.com – TZW5D

timesfm.co.tz – TZW5E

Muongozaji wa video anayependwa

Adam Juma – TZW6B

Hanscana  – TZW6D

Nisher – TZW6E

Muongozaji wa filamu anayependwa

JB – TZW7A

Leah Mwendamsoke – TZW7B

Vincent ‘Ray’ Kigosi – TZW7D

Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa 

Jacqueline Wolper – TZW8C

Riyama Ally – TZW8D

Wema Sepetu –

Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa 

Hemedy PHD – TZW9A

JB – TZW9B

King Majuto – TZW9C

Mwanamuziki wa kike anayependwa TZW10

Lady Jaydee – TZW10A

Linah – TZW10B

Vanessa Mdee – TZW10E

Mwanamuziki wa kiume anayependwa

Alikiba – TZW11A

Barnaba – TZW11B

Diamond Platnumz – TZW11C

Filamu inayopendwa 

Chausiku – TZW12A

Kigodoro – TZW12B

Madam – TZW12C

Video ya muziki inayopendwa

Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz – TZW13C

Wahalade –  Barnaba – TZW13D

XO – Joh Makini – TZW13E

Kupiga kura andika code ya jina ulipendalo na tuma ujumbe wa simu kwenda namba 15678 au tembelea www.tuzozetu.com.

Tupia Comments