Habari za Mastaa

Dj Khaled kaileta hii video mpya… hapa Chrisbrown na Lil Wayne, hapa Big Sean!

on

Dj KhaledKutana na hii brand new video kutoka kwa Dj Khaled ft. Chris Brown, Lil Wayne na Big Sean inaitwa how many times ambayo imetolewa rasmi May 12 2015.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments