AyoTV

AyoTV ilichonasa kwenye baby shower ya Aunty Ezekiel, Kajala na Mose Iyobo walikuwepo… Wema?

on

Aunty 21Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito kwa sasa anaetarajiwa kujifungua anytime kutoka sasa amekua akitajwa mapenzini na Moses Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, sasa May 9 2015 ndio ilifanyika baby shower nje ya Dar es salaam ambapo marafiki mbalimbali walijitokeza akiwemo Kajala.

Kwenye hii video hapa chini Aunt Ezekiel anajibu pia kwanini Wema Sepetu ambaye ni rafiki yake mkubwa hakuonekana kwenye hii party.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments