Magazeti

Flaviana Matata kwenye tangazo jingine tena New York Marekani.

on

123Ni Watanzania wengi sasa hivi yanatambua uwepo wa Mwanamitindo Flaviana Matata ambaye anaishi na kufanya kazi New York Marekani na amekua akiiwakilisha nchi yake vizuri tu pamoja na kuikumbuka kwa kusaidia kulipa ada za Wasichana wasiokua na uwezo.

FullSizeRender

Good news ya leo ni Mwanamitindo huyu kuendelea kushine kwenye matangazo ya kibiashara na time hii kafanya hili tangazo la mavazi ya majira ya joto na kafanya na New York and Company.

IMG_6387

IMG_6388 IMG_6389

Picha zimetoka 8020fashionsblog.com

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments