AyoTV

AyoTV: Dakika 6 za Aika wa NavyKenzo ! mapenzi yake kwa Nahreel, beef iliyotokea na mengine

on

AikaNamsogeza kwako mwimbaji Aika kutoka kwenye kundi la Navy Kenzo ambalo linaundwa na watu wawili tu, yaani yeye na boyfriend wake ambaye ni producer Nahreel.

Aika alikaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na kuzitumia dakika 6 kuzungumzia yeye na Nahreel walivyoanza, beef ya Nahreel na Quick Rocka na mengine mtazame hapa chini.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments