Mix

Mahaba! Dogo Janja hajiwezi kwa mpenzi wake amwambia ‘uliponitoa nakuheshimu’

on

Ni headlines za msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja ambae kupitia mtandao wake wa instagram ameyaandika maneno baada ya kufikisha mwaka mmoja kwenye husiano na mpenzi wake

Wallah siamini kama leo tumetimiza mwaka uliponitoa na nlipo sasa nakuheshimu sana mwanamke wangu ur the real g KUDAADEK😭 mmebaki wachache sana duniani wanawake wenye heshima na upendo na kujali… BUSTANI PEKEE NINAYOIMWAGILIA MWENYEWE.. wala hatumwagiliiii watu wawili… nakuzimia sana’- DOGO JANJA

UJIONEE HII YA ROSE NDAUKA KAFUNGUKA MIAKA 30 BILA NDOA ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments