Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Maneno waliyoandika Jokate na Wema Sepetu baada ya Ali Kiba kushinda tuzo 6 za KILI 2015.
Share
Notification Show More
Latest News
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Maneno waliyoandika Jokate na Wema Sepetu baada ya Ali Kiba kushinda tuzo 6 za KILI 2015.
Habari za MastaaStori Kubwa

Maneno waliyoandika Jokate na Wema Sepetu baada ya Ali Kiba kushinda tuzo 6 za KILI 2015.

June 15, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Jokate na Wema Sepetu June 15 2015Mwigizaji Wema Sepetu na staa wa single ya ‘leoleo‘ Jokate ambao wamekuwa kuwa mapenzini na Diamond Platnumz kwa time tofauti baada ya kutolewa tuzo za KILI 2015 nchini Tanzania ambako Ali Kiba alipata ushindi wa tuzo nyingi kuliko yeyote mwingine usiku huo walitumia page zao kumpongeza Kiba kwa kuandika maneno yafuatayo.

Jokate ambaye anatajwa kuwepo mapenzini na Ali Kiba sasa hivi aliandika >>> ‘Hongera Sana Cherie @officialalikiba Kwa Kujishindia Tuzo Sita Jana Usiku Kwenye Kiba Tanzania Music Awards (KTMA) sorry Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. Teh teh teh. Ni Kitu Cha Kumshukuru Mungu Ulikaa Kimya Miaka 3 Ila Ukarudi Na Wimbo Mmoja Ukatuteka Tena’

‘Kusema Ukweli Tukiachilia Mbali Ushabiki ‘Mwana’ Ulituliza Akili Na Ukafanya Vizuri Sana Nchini. Mashabiki Wanakupenda. Sana. Mpole Hivi, Mcheshi, Mstaarabu. Na Unajua Mziki. Tunakuombea Sasa Hii Iwe Motisha Ya Wewe Kufika Mbali Zaidi. Ndio Kwanza Safari Imeanza. Uzuri Unaomba Mungu So Najua Hata Kutupa. Ila Kaza Mwana We Kazaaa!!! tuko nyuma yako 💯’  – Jokate

Wema Sepetu aliandika >>> ‘Nilitaka zote saba ila hata 6 pia sio mbaya…. #KingKiba…. Umetisha’

Baada ya Jokate kupost picha ya Kiba na hayo maneno hapo juu…… post iliyofata aliweka picha yake yeye na Wema na kuandika >>> ‘Ni kitu kizuri na chenye nguvu pale Wanawake hodari wanaoungana‘

Jokate na Wema Sepetu June 15 2015 post

Jokate M kuhusu Ali Kiba June 14 2015

Instagram Wema Sepetu June 14 2015 on Ali Kiba kushinda KTMA

Ali Kiba mwenyewe baada ya ushindi huu aliandika “Ningependa Kuchukua Nafasi Hii Kutoa Shukrani Zangu Kwanza, Kwa MUNGU Muumba Aliyenipa Kipaji Hiki, Pili Familia Yangu Kwa Kuniongoza Na Kunipa Moyo Wa Kufanya Kazi Zaidi, My Management, Asante Kwa Kuniongoza Vyema. Mashabiki Zangu Wa Dhati Asanteni Sana Kwa Kuthamini Kipaji Changu Na Kupenda Kazi Zangu! Nawapenda Na Kuwashukuru From The Bottom Of My Heart. MUNGU Awabariki Sana …#KingKiba

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: Ali Kiba, Diamond Platnumz, Jokate, Stori Pekee, Wema Sepetu
Millard Ayo June 15, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Pale ambapo ishu ya kupima HIV inavunja ndoa…#HehaHeka June 15 (Audio)
Next Article Barakah Da’ Prince baada ya ushindi wa KTMA, daftari la mashairi ya Linex.. Safari ya Fella na Yamoto South Africa.. #255 (Audio)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?