Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

fB insta twitter

Jibu alilolitoa Diamond kwa shabiki aliyemkasirisha kwa kukerwa na hizi picha alizopost !

on

DiamondMwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz yuko Afrika Kusini kwa ziara ya kimuziki ambapo mapema wiki hii alisimamia Yamoto Band kwenye video yao ya kwanza kuitengeneza kimataifa kisha tuzo za MTV alikochaguliwa lakini pia amefanya kolabo na staa wa muziki kwenye nchi hiyo aitwae Donald.

Kwenye page yake ya twitter alikua akiRT na kupost picha akiwa kwenye vituo vya Radio za South Afrika akiwa na Donald katika kuipromote hiyo single yao mpya ambapo wakati akiwa anaendelea kupost hizo picha alitokea shabiki mmoja kwenye twitter akamuandikia >>> ‘Ushamba huo hata interview unarusha, kina ngosha washafanya hizo kibao tu, vitu vingine vya kawaida sana wewe

Baada ya hiyo Tweet Diamond alimjibu kama inavyosomeka hapa chini….
Diamond Twitter June 18 2015 baada ya shabiki kumkasirisha

D8 D9 D10millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben kwa ajili ya kujua taarifa zaidi kwenye ajali waliyoipata jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments