Premier Bet
TMDA Ad

Vituko/ Comedy

Ndoa iliisha baada ya miaka 12, mume akaona kila kitu wagawane nusunusu.. (Picha& Video)

on

divorce-half-of-everything-12

Ni kama utani hivi.. eti kweli ikitokea ndoa inaisha alafu Mahakama ikaamua kila kitu mgawane nusunusu, hiyo nusu yenyewe ndio inakuwa kwenye mtindo huu??

Der Juli ni jina la Mjerumani mwingine kwenye Headlines baada ya kuingia mtandaoni na kutangaza kwamba anauza hivi vitu ambayo wamegawana nusunusu na mkewe baada ya ndoa kufikia mwishoni.

Cheki pichaz za vitu vyenyewe sasa !!

half-a-macbook-pro-der-juli-ebay

Hii ni laptop ya Apple, hapo ndio imeshagawanywa nusu yani!

half-a-mailbox-der-juli-ebay1

Hili ni sanduku la barua, na lenyewe limegawanywa tayari.

half-an-iphone-5-der-juli-ebay1

iPhone nayo haikuachwa.

half-an-opel-corsa-der-juli-ebay1

Gari ndogo ya kutembelea, Opel Corsa nayo iko nusu hapo.

half-a-samsung-tv-der-juli-ebay1

TV ya Samsung nayo iko nusu.

half-a-teddy-bear-der-juli-ebay1

Mdoli nao ulikutwa na huu mkasa wa kugawanywa nusu !!

half-of-four-chairs-der-juli-ebay1

Viti vya kukalia.

Helmet

Helmet ambayo inavaliwa kichwani ukiendesha pikipiki

divorce-half-of-everything-6

enhanced-3911-1434633611-9

Hapa kuna video wakati jamaa yuko busy kabisa anagawanya vitu

Hii nusunusu unaionaje mtu wangu, iko sawa kweli? Nitafurahi kuona comment yako kwenye haya maamuzi ya mgao mtu wangu !!

Soma na hizi

Tupia Comments