AyoTV

Wema Sepetu kuhusu mtoto na Diamond, ujauzito wa Zari na mimba aliyotoa. ( video )

on

WEMA sMahojiano na mwigizaji Wema Sepetu kwenye TV show ya TAKE ONE CloudsTV na Zamaradi Mketema yalimalizika kwa hiki kipisi cha dakika 15 Wema akielezea mengi ya moyoni ikiwemo ya kupata mtoto na Diamond, Ujauzito wa Zari na mimba aliyowahi kuitoa.

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments