Michezo

Ishu ya Kocha wa Taifa Stars kutimuliwa ikaingia kwenye headlines Bungeni June 22 2015..

on

sport-sport-news-_34-big

Kocha wa timu ya Taifa TZ, Taifa Stars alijikuta kibarua chake kikifikia mwishoni baada ya kusimamishwa kuifundisha timu hiyo baada ya kuwa na matokeo mabaya mfululizo.

Ishu imeingia Bungeni, Mbunge Iddi Azan aliuliza swali >>> “Timu ya Taifa imefanya vibaya na Kocha amefukuzwa, Serikali inachukua hatua gani kwa sababu tangu siku ya kwanza alionekana mbovu kwa kuwa alifukuzwa Msumbiji” >>> Iddi Azan.

Alitegemewa kuwa Kocha ambaye angetuletea ushindi, hili la kumfukuza Kocha kuna mchakato unaendelea kuhakisha anabadilishwa… Katika masuala ya michezo uwezo wa Kocha mutategemea na timu nzuri ya wachezaji” >>> Waziri Fenella Mukangala.

Stori hii iko kwenye hii sauti hapa …

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments