AyoTV

Linah kwenye studio ya Millard Ayo! ishu ya boyfriend wake na Wema Sepetu kaizungumzia hapa

on

Linah 3Linah ni mwimbaji wa bongofleva ambapo hivi karibuni mpaka Mama yake mzazi alimpigia simu kutaka ajiepushe kugombana na watu baada ya kusikia stori kwamba anagombea Mwanaume na Wema Sepetu.

Ilimfanya mama afikie hatua hiyo baada ya kusikia tu stori za watu na baadhi ya mitandao na gazeti lililoandika hiyo habari lakini ukweli wenyewe kutoka kwa Linah uko kwenye hii video ya Interview aliyofanyiwa TZA kwenye studio ya Millard Ayo.

UNGEPENDA KUONA VIDEO NYINGINE ZA MILLARD AYO ???? TAZAMA HIZI HAPA CHINI….

BEN POL ALIVYONUSURIKA AJALI YA BOTI

WEMA SEPETU KUHUSU KUTOA MIMBA, MTOTO NA DIAMOND, UJAUZITO WA ZARI NA MENGINE TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments