Habari za Mastaa

Malaika wa Uswazi Take Away katuletea hii video mpya ya ‘SARE’ Ft. Mesen Selekta

on

malaika 2Ni miongoni mwa waimbaji wazuri wa kike Tanzania wenye mvuto kuanzia kwenye sauti zao na swagg zao ambapo kama damu yako inachembechembe nyingi za bongofleva, sauti yake utakua uliisikia kwenye hit single ya USWAZI TAKE AWAY aliyoshirikishwa na Chege.

Sasa hivi Malaika huyu anazo headlines za single zake peke yake ambapo video yake mpya inaitwa Sare na unaweza kuitazama hapa chini….

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments