AyoTV

Video ikimuonyesha Ali Kiba alivyopanda daladala na kuulizwa maswali likiwemo la yeye na Diamond.

on

Ali Kiba 1Mwimbaji wa bongofleva Ali Kiba aliamua kufanya ziara ya ghafla na kuanza kupanda Mabasi (Daladala) za ndani ya Dar es salaam June 23 2015 ikiwa ni ziara ya kuwashukuru mashabiki kwa kumpa ushindi wa tuzo 6 za KTMA na moja ya Tuzo za Watu 2015.

UNGEPENDA KUONA VIDEO NYINGINE ZA AyoTV? LINAH AKIIZUNGUMZIA ISHU YAKE NA WEMA SEPETU? TAZAMA HAPA CHINI….

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments