Habari za Mastaa

Ali Kiba katuonjesha kipisi cha sekunde 15 kutoka kwenye video yake mpya ya ‘cheketua’

on

Ali KibaJumatatu ya June 29 2015 ndio itakua siku rasmi kwa video mpya ya ‘Chekecha’ ya Ali Kiba kuanza kuonekana kwenye TV ambapo TV ya kwanza kuplay hiyo video ni TRACE TV, TV ya burudani kutokea Ufaransa ambayo inaongoza kwa kutazamwa Afrika sasa hivi.

Wakati tukisubiria hiyo kesho kuitazama, kuna hizi sekunde 15 kazitanguliza Ali Kiba kutoka kwenye hiyo video.

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments